Shirika la Nyumba Zanzibar limeandaa Mafunzo ya Zima moto pamoja na kukabidhi Mitungi kumi ya kuzimia moto yaliyotolewa na Mbunge wa Malindi Mhe. Mohammed Suleiman kwa wapangaji wake wanaoishi Mji Mkongwe.
Mafunzo hayo yametolewa na Maafisa wa Zima moto ambapo waliwafundisha wapangaji jinsi ya kutumia mitungi ya kuzimia moto kwa hatua za awali. Siku ya Alhamisi tarehe 08/07/2021.