CASH METHOD: The potential buyer will pay 30% down payment and suppose to finish the remaining balance 70% within six months cash method: the potential buyer will pay 30% down payment and suppose to finish the remaining balance 70% within six months
MALIPO YA FEDHA TASLIM: Mteja atalipa malipo ya awali 30% ya bei ya nyumba na atatakiwa kumalizia 70% ya bei ya nyumba ndani ya miezi sitabaada ya malipo ya awali
MORTGAGE FINANCING: The potential buyer after submitting the house purchase application form will also submit a confirmation letter from banks that he/she request loan.
MKOPO KUTOKA KATIKA MABENKI WAHISANI: Mteja atatakiwa kuleta barua ya uthibitisho wa udhamini wa mkopo kutoka katika benki muhisani.
CONTINUOUS PAYMENT PLAN (CPP): The customer will submit house purchase application form together with proof down payment. The payment plan will be
MALIPO YA AWAMU: Mteja baada ya kulipa gharama za fomu ya ununuzi wa nyumba atalazimika kulipa kwa awamu kama ifuatavyo;o
- 30% down payment
malipo ya awali ya bei ya nyumbao
- 15% - 1st instalment will be paid within four months after payment of down payment
Malipo ya awamu ya kwanza ambayo yatalipwa kwah kipindi cha miezi minne baada ya malipo ya awali
- 20% - 2nd instalment will be paid within four months after payment of first instalment
Malipo ya awamu ya pili ambayo yatalipwa kwa kipindi cha miezi minne baada ya malipo ya awamu ya kwanza.
- 25% - 3rd instalment will be paid within three months after payment of second instalment
Malipo ya awamu ya tatu ambayo yatalipwa kwa kipindi cha miezi mitatu baada ya malipo ya awamu ya pili.
- 10% - 4th instalment will be paid within three months after payment of third instalment Malipo ya awamu ya nne ambayo yatalipwa kwa kipindi cha miezi mitatu baada ya malipo ya awamu ya tatu.