Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, amefanya ziara ya kukagua mradi wa matengenezo ya Nyumba namba 1699/1705 iliopo Mnadani. Ziara hiyo imefanyafika siku ya Alhamisi tarehe 02/09/2021 saa 04:00 (nne kamili) asubuhi.

Katika ziara hiyo, Makamu wa Pili wa Rais, ameutaka uongozi wa Shirika la Nyumba na Mamlaka ya Mji mkongwe kushirikiana vizuri wakati wa ukarabati wa nyumba za Mji Mkongwe, ili kuhakikisha majengo yanakua imara .
Aidha aliwaagiza wakandarasi kufanya kazi kwa kiwango ambacho kimekusudiwa na kwa muda mfupi zaidi ili Serikali iweze kufanya biashara na kuingiza pato kupitia nyumba hiyo.

Pay to PBZ Bank


All paymets received done by Control number

Visit any ZHC Office for your Control number

Pemba Office


ZHC Branch Miembeni Chake Chake Pemba

P. O. BOX 128

Email: zhcpba@zhc.go.tz

Pemba.

Zanzibar Head Office


Zanzibar Housing Corporation

Darajani Opposite to Petrol Station

Zanzibar

P. O. BOX 795

E-mail: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Zanzibar - Tanzania